Fintech Solution — Tanzania

Njia Rahisi ya
Malipo Tanzania.

Pokea malipo kupitia M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money. Unganisha API zetu kwenye biashara yako kwa dakika.

Selcom Verified
SSL Encrypted
Developer API

Kwa nini Afripesa?

Mfumo wa malipo ulioundwa kwa ajili ya biashara za Tanzania.

Mobile Money

Pokea malipo kupitia M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money kwa USSD push.

API ya Developers

Unganisha mfumo wako na Afripesa kwa API rahisi. Webhooks na order tracking.

Salama na Haraka

SSL encryption, USSD push, na malipo yanafika ndani ya sekunde.

Anza Kupokea Malipo Leo

Sajili akaunti yako bure na uanze kupokea malipo kupitia Mobile Money ndani ya dakika 5.

Endelea →